Thursday, 9 April 2020


MATANANA KAMA DAR


Matanana  kwasasa kama dar nikimanisha kua imeakua navivutio vingi vya kujipatia kipato kwa wakazi wao. moja ya vivutio hivyo ni kama misitu ya mbao na matunda kama palachichi

napenda kusema kwa wale wapenzi wa mazao haya karibu matanana tufanye biashara hizi.
    
  kwani zinaleta kipato kikubwa sana ona picha hii unaweza kujifunza. nawewe ukamua kufanya biashara hii ya kilimo cha mazao yamiti.
huo mti mmoja unaweza kukutengeneze faida ya laki laki 3 wastani . naekari unaweza kupanda miche sabini unaweza kupata million21.000.000 kwanini tusijivunie karibuni. 

kwa wale wanao hitaji 

mashamba na miche unaweza kutupigia kwa 
simu 0659712373
kelvin nyasi matanana

No comments:

Post a Comment